Wednesday, June 8, 2016

UEFA YATANGAZA MAREFA MECHI 4 ZA KWANZA EURO 2016

MAREFA watakaochezesha Mechi 4 za kwanza za Mashindano ya Mataifa ya Ulaya EURO 2016 yanayoanza Ijumaa Juni 10 huko France wametangazwa na UEFA.
Refa Viktor Kassai wa Hungary ndie atakaesimamia pambano la ufunguzi la Ijumaa ikiwa ni Mechi ya Kundi A kati ya France na Romania.


Juni 10: France v Romania, Saint-Denis
Refa: Viktor Kassai (Hungary)
Refa Msaidizi: György Ring
Refa Msaidizi: Vencel Tóth
Refa Msaidizi wa ziada: Tamás Bognar
Refa Msaidizi wa ziada: Ádám Farkas
Refa wa Nne: Björn Kuipers
Refa Msaidizi wa Akiba: Sander van Roekel
Juni 11: Albania v Switzerland, Lens
Refa: Carlos Velasco Carballo (Spain)
Refa Msaidizi: Roberto Alonso Fernández
Refa Msaidizi: Juan Carlos Yuste Jiménez
Refa Msaidizi wa ziada: Jesús Gil Manzano
Refa Msaidizi wa ziada: Carlos del Cerro Grande
Refa wa Nne: Pol van Boekel
Refa Msaidizi wa Akiba: Erwin Zeinstra

Juni 11: Wales v Slovakia, Bordeaux
Refa: Svein Oddvar Moen (Norway)
Refa Msaidizi: Kim Thomas Haglund
Refa Msaidizi: Frank Andås
Refa Msaidizi wa ziada: Ken Henry Johnsen
Refa Msaidizi wa ziada: Svein-Erik Edvartsen
Refa wa Nne: Alexey Kulbakov
Refa Msaidizi wa Akiba: Vitali Maliutsin

Juni 11: England v Russia, Marseille
Refa: Nicola Rizzoli (Italy)
Refa Msaidizi: Elenitodi Liberatore
Refa Msaidizi: Mauro Tonolini
Refa Msaidizi wa ziada: Daniele Orsato
Refa Msaidizi wa ziada: Antonio Damato
Refa wa Nne: Anastasios Sidiropoulos
Refa Msaidizi wa Akiba: Damianos Efthymiadis

Ijumaa Juni 10
KUNDI A, France v Romania (2300, Stade de France, Paris)
Jumamosi Juni 11
KUNDI A, Albania v Switzerland (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI B, Wales v Slovakia (2000, Stade de Bordeaux)
KUNDI B, England v Russia (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Jumapili Juni 12
KUNDI D, Turkey v Croatia (1700, Parc des Princes, Paris)
KUNDI C, Poland v Northern Ireland (2000, Stade de Nice)
KUNDI C, Germany v Ukraine (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 13
KUNDI D, Spain v Czech Republic (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI E, Republic of Ireland v Sweden (2000, Stade de France, Paris)
KUNDI E, Belgium v Italy (2300, Stade de Lyon)
Jumanne Juni 14
KUNDI F, Austria v Hungary (2000, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Portugal v Iceland (2300, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Jumatano Juni 15
KUNDI B, Russia v Slovakia (1700, Stade Pierre Mauroy, Lille)
KUNDI A, Romania v Switzerland (2000, Parc des Princes, Paris)
KUNDI A, France v Albania (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Alhamisi Juni 16
KUNDI B, England v Wales (1700, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
KUNDI C, Ukraine v Northern Ireland (2000, Stade de Lyon)
KUNDI C, Germany v Poland (2300, Stade de France, Paris)
Ijumaa Juni 17
KUNDI E, Italy v Sweden (1700, Stadium de Toulouse)
KUNDI D, Czech Republic v Croatia (2000, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
KUNDI D, Spain v Turkey (2300, Stade de Nice)
Jumamosi Juni 18
KUNDI E, Belgium v Republic of Ireland (1700, Stade de Bordeaux)
KUNDI F, Iceland v Hungary (2000, Stade Velodrome, Marseille)
KUNDI F, Portugal v Austria (2300, Parc des Princes, Paris)
Jumapili Juni 19
KUNDI A, Romania v Albania (2300, Stade de Lyon)
KUNDI A, Switzerland v France (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumatatu Juni 20
KUNDI B, Russia v Wales (2300, Stadium de Toulouse)
KUNDI B, Slovakia v England (2300, Stade Geoffroy Guichard)
Jumanne Juni 21
KUNDI C, Ukraine v Poland (20000, Stade Velodrome)
KUNDI C, Northern Ireland v Germany (2000, Parc des Princes)
KUNDI D, Czech Republic v Turkey (2300, Stade Bollaert-Delelis)
KUNDI D, Croatia v Spain (2300, Stade de Bordeaux)
Jumatano Juni 22
KUNDI F, Iceland v Austria (2000, Stade de France)
KUNDI F, Hungary v Portugal (2000, Stade de Lyon)
KUNDI E, Italy v Republic of Ireland (2300, Stade Pierre Mauroy)
KUNDI E, Sweden v Belgium (2300, Stade de Nice)
Raundi ya Mtoano ya Timu 16
Jumamosi Juni 25
Mshindi wa Pili KUNDI A v Mshindi wa Pili KUNDI C (1700, Stade Geoffroy Guichard, St Etienne)
Mshindi KUNDI B v Mshindi wa 3 KUNDI A/C/D (2000, Parc des Princes, Paris)
Mshindi KUNDI D v Mshindi wa 3 KUNDI B/E/F (2300, Stade Bollaert-Delelis, Lens)
Jumapili Juni 26
Mshindi KUNDI A v Mshindi wa 3 KUNDI C/D/E (1700, Stade de Lyon)
Mshindi KUNDI C v Mshindi wa 3 KUNDI A/B/F (2000, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Mshindi KUNDI F v Mshindi wa Pili KUNDI E (2300, Stadium de Toulouse)
Jumatatu Juni 27
Mshindi KUNDI E v Mshindi wa Pili KUNDI D (2000, Stade de France, Paris)
Mshindi wa Pili KUNDI B v Mshindi wa Pili KUNDI F (2300, Stade de Nice)
Robo Fainali
Alhamisi Juni 30
Robo Fainali ya 1, (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Ijumaa Julai 1
Robo Fainali ya 2, (2300, Stade Pierre Mauroy, Lille)
Jumamosi Julai 2
Robo Fainali ya 3, (2300, Stade de Bordeaux)
Jumapili Julai 3
Robo Fainali ya 4, (2300, Stade de France, Paris)
Nusu Fainali
Jumatano Julai 6
Mshindi Robo Fainali ya 1 v Mshindi Robo Fainali ya 2 (2300, Stade de Lyon)
Alhamisi Julai 7
Mshindi Robo Fainali ya 3 v Mshindi Robo Fainali ya 4 (2300, Stade Velodrome, Marseille)
Fainali
Jumapili Julai 10
 (2300, Stade de France, Paris)