Tuesday, July 26, 2016

CAF CC: YANGA YAKWAMA HUKO GHANA LEO, YAKUBALI KICHAPO CHA 3-1

Mabingwa wa Tanzania Bara Yanga Leo huko Nchini Ghana huko TNA Park, Tarkwa kurudiana na Medeama katika Mechi ya Kundi A la KOMBE LA SHIRIKISHO, CAF CC ambayo  Walitegemea washinde ili kuweka uhai matumaini yao ya kusonga Nusu Fainali. Bao la pekee la Yanga limefungwa na Simon Msuva bao pekee kwa mkwaju wa Penati. Mtanange umamalizika 3-1.