Friday, July 15, 2016

DEUS VALENCE NA JENIFER MARCO WAFUNGA PINGU ZA MAISHA LEO BUKOBA.

 Ndoa imefungwa leo hii Ijumaa 15 /07/2016 saa 9 Alasiri katika Kanisa Katoliki (Cathedral) Bukoba Mjini. Sherehe ya kuwapongeza imefanyika katika Ukumbi wa Lina's Night Club uliopo Bukoba Mjini.
Wakiingia Ndani ya Kanisa
Mr & Mrs Deus wakiwa Kanisani wakati wa Kufunga Ndoa yao hii leo Misa ikiendelea..

Fr. Faustine Kamuhabwa(Baba Paroko) wa Kanisa la Cathedraw Bukoba akiendesha Misa


Tayari kwa kufunga Pingu za Maisha na Kuwa kitu kimoja
Baba Paroko Fr. Faustine Kamuhabwa akiendelea kutoa taratibu wakati wa Misa ya kuwafungisha pingu za Maisha Bwana Deus na Jenifer Marco kutoka kwenye  Familia ya Bw. na Bibi Valence Kashumba wa Bujugo - Bukoba.

Mama Mzazi wa bi Harusi(kulia) akiwa na Mwanae leo hii wakipata picha ya Pamoja wakati wa kufunga Pingu za Maisha Manae
Bi. Harusi akiwa na Mama
Furaha ikalipuka!
Staili ya aina yake


Mr Deus akiwa na mkewe Bi Jenifa

Kwenye Maisha ya Pamoja Furaha ni kitu muhimu


Maisha ni Safari Ndefu sana kuna Milima na Mabonde


Wakiambiana Neno la Maisha
Maharusi wakitazama Taswira mbalimbali leo hii kwenye Ufukwe wa Ziwa Victoria.
Bw. Boniface(kulia) akiwa na Bwana Harusi Deusdedit Valence