Tuesday, July 5, 2016

ENGLAND – UHAMISHO RASMI KLABU ZA LIGI KUU HADI SASA, PATA LISTI YA KLABU ZOTE!

DIRISHA la Uhamisho la Ligi Kuu England limefunguliwa rasmi Julai 1 na litafungwa Agosti 31.
Klabu kadhaa zimeshavamia Soko na kununua na pia kuuza Wachezaji.

PATA DILI ZILIZOKAMILIKA HADI SASA:
AFC Bournemouth
MPYA

Emerson Hyndman (Fulham) Bure
Nathan Ake (Chelsea) Mkopo
Lys Mousset (Le Havre) ADA HAIKUTAJWA

NJE
Sylvain Distin (Ameachwa)
Tommy Elphick (Aston Villa) ADA HAIKUTAJWA
Matt Ritchie (Newcastle United) ADA HAIKUTAJWA

Arsenal
MPYA

Granit Xhaka (Borussia Monchengladbach) ADA HAIKUTAJWA

NJE

Mikel Arteta (Ameachwa)
Tomas Rosicky (Ameachwa)
Mathieu Falmini (Ameachwa)
Daniel Crowley (Oxford United) Mkopo

Burnley
MPYA

Robbie Leitch (Motherwell) Bure
Jamie Thomas (Bolton Wanderers) Bure

Chelsea
MPYA
Meneja:
Antonio Conte

NJE
Lewis Baker (Vitesse Arnhem) Mkopo
Nathan Ake (Bournemouth) 


Crystal Palace
MPYA
Andros Townsend (Newcastle United) Pauni Milioni 13

NJE
Dwight Gayle (Newcastle United) Pauni Milioni 10

Everton (evertonfc.com)
MPYA
Meneja:
Ronald Koeman
Bassala Sambou (Coventry City)
Chris Renshaw (Oldham Athletic) ADA HAIKUTAJWA
Maarten Stekelenburg (Fulham) ADA HAIKUTAJWA

NJE

Steven Pienaar (Ameachwa)
Leon Osman (Ameachwa)
Tony Hibbert (Ameachwa)

Leicester City
MPYA

Ron-Robert Zieler (Hannover 96) ADA HAIKUTAJWA
Luis Hernandez (Sporting Gijon) Bure
Raul Uche Rubio (Valencia) ADA HAIKUTAJWA
NJE
Andrej Kramaric (Hoffenheim) ADA HAIKUTAJWA

Liverpool
MPYA

Joel Matip (Schalke) Bure
Loris Karius (FSV Mainz 05)
Sadio Mane (Southampton) ADA HAIKUTAJWA

Manchester City
MPYA
Meneja:
Pep Guardiola
Ilkay Gundogan (Borussia Dortmund) ADA HAIKUTAJWA
Nolito (Celta Vigo) ADA HAIKUTAJWA

NJE

Seko Fofana (Udinese) ADA HAIKUTAJWA
Martin Demichelis (Ameachwa)

Manchester United

MPYA
Meneja:
Jose Mourinho
Eric Bailly (Villarreal) ADA HAIKUTAJWA
Zlatan Ibrahimovic (PSG) Bure

NJE
Meneja: Louis van Gaal
Middlesbrough

MPYA
Viktor Fischer (Ajax) ADA HAIKUTAJWA
Bernardo Espinosa (Sporting Gijon)

NJE

Jonathan Woodgate (Ameachwa)
Damia Abella (Ameachwa)
Rhys Williams (Perth Glory) Bure

Southampton
MPYA
Meneja:
Claude Puel
Nathan Redmond (Norwich City) ADA HAIKUTAJWA

NJE

Gaston Ramirez (Ameachwa)
Kelvin Davis (Amestaafu)
Juanmi (Real Sociedad) ADA HAIKUTAJWA
Victor Wanyama (Tottenham Hotspur) ADA HAIKUTAJWA
Sadio Mane (Liverpool) ADA HAIKUTAJWA

Swansea City
NJE
Eder (Lille) ADA HAIKUTAJWA
Alberto Paloschi (Atalanta) ADA HAIKUTAJWA
Kyle Bartley (Leeds United) Mkopo
 

Tottenham Hotspur
MPYA
Victor Wanyama (Southampton) ADA HAIKUTAJWA
Watford

MPYA
Meneja:
Walter Mazzarri
Jerome Sinclair (Liverpool) ADA HAIKUTAJWA
Christian Kabasele (Genk) ADA HAIKUTAJWA
Isaac Success (Granada) ADA HAIKUTAJWA

NJE
Joel Ekstrand (Ameachwa)
Gabriele Angella (Udinese) ADA HAIKUTAJWA
West Bromwich Albion

NJE
Victor Anichebe (Ameachwa)
Stephane Sessegnon (Ameachwa)
Anders Lindegaard (Ameachwa)
West Ham United

MPYA
Toni Martinez (Valencia) ADA HAIKUTAJWA
Havard Nordtveit (Borussia Moenchengladbach) Bure
Domingos Quina(Kutoka Portugal)

Sofiane Feghouli (Valencia) Bure

NJE
Joey O'Brien (Ameachwa)
Elliot Lee (Ameachwa)