Sunday, July 3, 2016

EURO 2016: FRANCE 5 v 2 ICELAND, WENYEJI FRANCE WAFANYA KWELI KWA KUITEKETEZA ICELAND NA KUKAMILISHA NUSU FAINALI!

Iceland hoi watupwa nje!BAO ZA FRANCE zimefungwa na
Olivier Giroud (12', 59')
Paul Pogba (19')
Dimitri Payet (42')
Antoine Griezmann (45')


Bao la Iceland limefungwa na Kolbeinn Sigthorsson kipindi cha pili dakika ya 56' 
Bao la pili limefungwa na Birkir Bjarnason dakika ya 84' na kufanya matokeo kuwa 5-2.