Monday, July 18, 2016

FULL TIME: WIGAN ATHLETIC 0 v 2 LIVERPOOL

Katika kujiandaa na Msimu mpya Liverpool usiku waliwafunga Wigan Athletic bao 2-0, bao la pili lilifungwa na Ben Woodburn