Wednesday, July 6, 2016

FULL TIME: EURO 2016 - PORTUGAL 2 v 0 WALES, NANI NA CRISTIANO RONALDO WAWAKOMESHA WALES NA BALE WAKE!

Mpaka dakika 90 zinamalizika Portugal 2-0Ronaldo dakika ya 50 kaifungia bao na Nani dakika ya 53 akaiongezea bao la pili hivyo kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Wales.Ronaldo akiwekwa chini ya ulinzi mkaliMpaka mapumziko PORTUGAL 0 v 0 WALES