FULL TIME...UEURO 2016 FINAL: PORTUGAL 1 v 0 FRANCE, EDER AWANYOOSHA WENYEJI FRANCE! RONALDO ASSHANGILIA USHINDI
France 0-1 Portugal, UEFA Euro 2016 Final LIVE: Eder scores with fantastic strike in extra-time to stun hostsEder dakika ya 109 aliwapachikia bao la kuongoza Portugal na kufanya 1-0 dhidi ya Wenyeji Ufaransa.Dakika 105 za dakika 120 zilikamilika nazo wakiwa bado 0-0Hadi dakika 90 zinakamilika Wenyeji France 0-0 Portugal na kuongezwa dakika 30. Wakati wa mapumziko kidogo baada ya dakika 90 kumalizika Cristiano Ronaldo alirudi kuwapongeza Vijana wenzake Portugal na kuwapa neno kuendelea vyema mpaka mwisho.Kipindi cha kwanza dakika ya 24 Cristiano Ronaldo aliumia na kulazimika kutolewa Nje ya Uwanja na kuifanya Portugal kuongozwa na Nani Nahodha.