Tuesday, July 19, 2016

MABINGWA LEICESTER CITY WAANZA KUIBOMOA TIMU YAO! RIYAD MAHREZ NAE ATAKA KUONDOKA...

Ulikuwa ni Ubingwa wa aina yake msimu uliopita kwa Leicester City.  N'Golo Kane tayari ameondoka Leicester kwenda Chelsea  na sasa Riyad Mahrez mbioni kuondoka.