Sunday, July 31, 2016

UHAMISHO: ARSENAL WAMTUPIA JICHO MAURO ICARDI WA MILLAN, CHELSEA WAMLILIA ROMELU LUKAKU.

Mauro Icardi inaonekana ana nafasi kubwa ya kujiunga na Klabu ya England ya Washika mtutu Arsenal kuliko Mchezaji Alexandre Lacazette. Nao Chelsea wanamipango ya kumnasa
Romelu Lukaku.