Wednesday, July 6, 2016

UHAMISHO: MIDDLESBROUGH KWENYE MAONGEZI KUMRUDISHA VAN PERSIE PREMIER LEAGUE!

Robin Van PersieMiddlesbrough wako kwenye maongezi na mkakati wa kumwania Mchezaji wa Fenerbahce Robin van Persie.