Saturday, August 27, 2016

EPL FULL TIME: TOTTENHAM 0 vs 0 LIVERPOOL

Tottenham Hotspur, wakicheza kwao White Hart Lane Jijini London Mechi ya Ligi Kuu England, EPL, wametoka Sare ya 1-1 na Liverpool.

Liverpool ndio waliotangulia kufunga katika Dakika ya 43 kwa Penati ya James Milner baada ya Lamela kumwangusha Firmino ndani ya Boksi.

Hadi Mapumziko Spurs 0 Liverpool 1.

Danny Rose aliisawazishia Spurs Dakika ya 72 baada ya Krosi ya Dier kuparazwa Kichwani na Lamela na kumkuta Rose aliefunga kwa Shuti la chini.