Sunday, August 7, 2016

FA COMMUNITY SHIELD: LEICESTER CITY 1 v 2 MANCHESTER UNITED


MECHI YA Ufunguzi Pazia wa Msimu Mpya wa Soka wa England kugombea Ngao ya Jamii iliyochezwa Leo Uwanjani Wembley Jijini London imemalizika kwa Meneja Mpya wa Manchester United Jose Mourinho kutwaa Taji lake la kwanza kabisa wakati Mchezaji Mpya wa Klabu hiyo Zlatan Ibrahimovic akifunga Bao la ushindi Dakika ya 83 walipowabomoa Mabingwa wa England Leicester City 2-1.

Mechi hii hukutanisha Mabingwa wa England na Mabingwa wa FA CUP ambao ni Manchester United Mabingwa.
Man United walitangulia kufunga Kipindi cha Kwanza kwa Bao la Jesse Lingarda aliepasiwa na Kepteni Rooney lakini juhudi zake binafsi ndizo zilimpa Bao hilo safi.

Ibrahimovic rose highest at the back post to beat Kasper Schmeichel and put United 2-1 up against LeicesterLingard (centre) is joined by Manchester United captain Wayne Rooney in celebration after his openerLingard pia ndie aliefunga Bao la ushindi Uwanjani hapo hapo Wenbley Mwezi Mei walipotwaa FA CUP.
Leicester walisawazisha katika Mechi ambayo Man United walitawala Mechi baada ya kosa la Kiungo wao Marouane Fellaini kumzawadia Jamie Vardy kusawazisha.
Lakini juhudi za Valencia aliemimina Krosi safi na Zlatan Ibrahimovic kujitwika Kichwani na kumhadaa Kipa Kasper Schmeichel kuliwapa Man United Bao la ushindi katika Dakika ya 83.
Jamie Vardy levelled things up for the Premier League champions after taking the ball around David de GeaA horrific defensive error from Marouane Fellaini (left) gifted Vardy the chance to equalise for LeicesterUnited's two goalscorers Ibrahimovic and Lingard pose for a photo with goalkeeper De Gea on the pitch at full-timeUnited's team were clearly delighted to get off to the perfect competitive start under new manager Jose MourinhoMourinho (right) picked Ibrahimovic in his starting line-up; the Swede was making his competitive debutLingard lifts his finger to his lips as he wheels away in celebration after scoring for his side at Wembley