Saturday, August 20, 2016

FULL TIME: BARCELONA 6 v 2 REAL BETIS, BARCA WAANZA MSIMU 2016/17 KWA KISHINDO KIZITO! MESSI ATUPIA, SUAREZ AANZA NA HAT-TRICK!

Bao za Barcelona zimefungwa na
Arda Turan dakika ya (6')
Lionel Messi (37') (57)
Luis Suárez (42')(56) na dakika (82)


BAO mbili za Real Betis zimefungwa na Rubén Castro dakika ya (21' na 84').