Sunday, August 7, 2016

FULL TIME, FA COMMUNITY SHIELD: LEICESTER CITY 1 v 2 MANCHESTER UNITED. LINGARD NA ZLATAN IBRAHIMOVIC WAIPA UNITED KOMBE LEO MWANZO MZURI KWA JOSE MOURINHO KUJIANDAA NA MSIMU MPYA 2016/17


Zlatan Ibrahimovic alifunga bao la pili dakika ya 83 na kuifanya United kuumaliza mpira kwa dakika 90 kwa ushindi wa bao 2-1 dhidi ya Mabingwa wa England Leicester City, Leo kwenye Mtanange wa kugombea Ngao ya Jamii(Community Shield) Wembley.
Lingard dakika ya 32 VIKOSI:
Manchester United wanaoanza XI: De Gea, Valencia, Bailly, Blind, Shaw, Carrick, Fellaini, Lingard, Ibrahimovic, Rooney, Martial
Leicester City wanaoanza XI: Schmeichel, Simpson, Huth, Morgan, Fuchs, Mahrez, Drinkwater, King, Albrighton, Okazaki, Vardy