Friday, August 19, 2016

FULL TIME: MANCHESTER UNITED 2 v 0 SOUTHAMPTON, POGBA AANZA KWA MAKEKE, ZLATAN AFANYA KWELI TENA LEO!

Zlatan Ibrahimovic bao la pili kafinga kwa mkwaju wa penati kipindi cha pili dakika ya 52 nakufanya United iwe mbele ya bao 2-0 dhidi ya Saint.
Bao la Man United lilifungwa na Zlatan Ibrahimovic kipindi cha kwanza dakika ya 36. kwa mara ya kwanza katika Mechi yao ya kwanza ya Ligi Kuu England, EPL na kuifunga Southampton 2-0 kwa Bao za Ibrahimovic na kubakia kileleni mwa Ligi.
Ibrahomivic alifunga Bao hizo kila Kipindi na la kwanza kwa Kichwa alipounganisha Krosi ya Wayne Rooney na la Pili kwa Penati baada ya Luke Shaw kuchezewa Faulo.
Bao hizo zilifungwa Dakika za 36 na 52 mbele ya Watazamaji 75,326.
Mechi inayofuata kwa Man United ni Jumamosi Agosti 27 Ugenini na Hull City.

Hadi Mapumziko Man United 1-0 SouthamptonPogba akipash kabla ya mtanange kuanza leo hii 
VIKOSI:
Manchester United:
De Gea, Bailly, Shaw, Pogba, Mata, Blind, Valencia, Fellaini, ─░brahimovic
Southampton: Forster; Cedric, Fonte, Van Dijk, Targett; Hojbjerg, Romeu, Davis; Long, Tadic, Redmond