Thursday, August 25, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: DROO MAKUNDI YATOKA LEO….MABINGWA REAL PAMOJA NA DORTMUND, BARCA NA CITY, ARSENAL NA PSG!

DROO ya Makundi ya UEFA CHAMPIONS LIGI, UCL, imefanyika hii Leo huko Monaco na Mabingwa Watetezi Real Madrid kupangwa Kundi F pamoja na Borussia Dortmund, Sporting Lisbon na Legia Warsaw.
Vigogo wa Spain, FC Barcelona, wapo Kundi C pamoja na Man City, Borussia Monchenglabach na
Arsenal wamepangwa Kundi A pamoja na Paris Saint-Germain, FC Basel na Ludogorets Razgrad.
Kundi D ndilo linaonekana matata na lina Timu za Bayern Munich, Atletico Madrid, PSV Eindhoven na FC Rostov.
Mechi za kwanza za Makundi zitaanza Septemba 13.

DROO KAMILI:
Kundi A:
Paris Saint-Germain, Arsenal, FC Basel, Ludogorets Razgrad
Kundi B: Benfica, Napoli, Dynamo Kiev, Besiktas
Kundi C: Barcelona, Man City, Borussia Monchenglabach, Celtic
Kundi D: Bayern Munich, Atletico Madrid, PSV Eindhoven, FC Rostov
Kundi E: CSKA Moscow, Bayern Leverkusen, Tottenham, AS Monaco
Kundi F: Real Madrid, Borussia Dortmund, Sporting Lisbon, Legia Warsaw
Kundi G: Leicester City, FC Porto, Club Brugge, FC Copenhagen
Kundi H: Juventus, Sevilla, Olympic Lyon, Dinamo Zagreb

MECHI ZA MAKUNDI:
Mechi ya Kwanza: 13 na 14 Septemba

Mechi ya Pili: 27 na 28 Septemba
Mechi ya Tatu: 18 na 19 Oktoba
Mechi ya Nne: 1 na 2 Novemba
Mechi ya Sita: 22 na 23 Novemba
Mechi ya Sita: 6 na 7 Desemba

MECHI ZA MTOANO:
11–12/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Kwanza
18–19/04/17: Robo Fainali, Mechi ya Pili
02–03/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Kwanza
09–10/05/17: Nusu Fainali, Mechi ya Pili
03/06/17: Fainali (National Stadium of Wales, Cardiff)