Saturday, August 20, 2016

UHAMISHO: BENTEKE ATUA CRYSTAL PALACE KWA DAU LA £27m

Benteke's Twitter page claimed he had joined Burnleyl (sic) FC rather than Crystal PalaceTwitter users mocked Christian Benteke after he mistook Crystal Palace for BurnleyKlabu ya Crystal Palace imethibitisha kumsajili mshambuliaji Christian Benteke kutoka Liverpool kwa ada ya pauni milioni 32 ambayo ni kubwa kuwahi kutokea kwa klabu hiyo kusajili. Benteke alikuwa jijini London tangu jana Ijumaa kwa ajili ya vipimo vya afya ambapo baada ya kukamilisha taratibu alitambulishwa rassmi. Usajili huo umekuja baada ya mchezaji huyo kutokuwa katika wakati mzuri kwa kushindwa kutamba Liverpool tangu alipotua akitokea Aston Villa. Akizungumzia juu ya usajii huo, Benteke ambaye ana umri wa miaka 25 alisema: “Nina furaha kutua Crystal PalaceBenteke smiles for a real photo after sealing his move from Liverpool to Crystal Palace