Saturday, August 20, 2016

VPL: SIMBA SC 3 v 1 NDANDA SC, SHIZA KICHUYA AFUNGUA MSIMU MPYA 2016/17 KWA BONGE LA BAO!

Ndanda Sc wanakubali kichapo tena kwa mara ya tatu mfululizo, wachapwa 3-1 hii leo Uwanja wa Taifa tena na Simba SC.