Sunday, September 18, 2016

CHALLENGE CUP: KILIMAJARO QUEENS YAITANDIKA BAO 4 -1 UGANDA, FAINALI KUPAMBANA NA KENYA!

Challenge Cup: Kilimanjaro Queens yaitandika Uganda 4-1 na kuingia fainali za Chalenji.
Itapambana na Kenya katika fainali baada ya Kenya kuitandika Ethiopia goli 3-2 katika nusu fainali nyingine.