Thursday, September 22, 2016

EFL CUP – DROO YA RAUNDI YA 4 YATOKA: MAN UNITED v MAN CITY OLD TRAFFORD, LIVERPOOL v SPURS!

DROO ya Raundi ya 4 ya EFL CUP, Kombe la Ligi, imefanyika Usiku huu mara baada ya Mechi za Raundi ya 3 na imeshusha Dabi ya Jiji la Manchester kwa Manchester United kuwa Wenyeji wa Mahasimu wao Manchester City Uwanjani old Trafford.

DROO KAMILI:
West Ham vs Chelsea
Man United vs Man City
Arsenal vs Reading
Liverpool vs Tottenham
Bristol City vs Hull
Leeds vs Norwich
Newcastle vs Preston
Southampton vs Sunderland