Wednesday, September 21, 2016

EFL CUP, FULL TIME: NORTHAMPTON TOWN 1 v 3 MANCHESTER UNITED

Northampton Town Walipata bao lao la kufuta machozi kupitia kwa Alex Revell likiwa la mkwaju wa Penati dakika ya 42 kabla ya kwenda mapumziko.
 
Manchester United walizinduka kipindi cha pili na kuwachapa bao mbili kuptia kwa Ander Herrera dakika ya (68') na lile la Marcus Rashford dakika ya  (75'). Bao la kwanza lilifungwa na Michael Carrick dakika ya  (17') na mtanange kumalizika kwa bao 3-1.