Wednesday, September 7, 2016

KILIMANJARO QUEENS YAJIFUA KWENYE UWANJA WA KAITABA LEO, KUCHEZA MCHEZO WA KIRAFIKI WA KIMATAIFA KESHO SEPT. 8, 2016 DHIDI YA BURUNDI.


Burundi na Tanzania ambazo ziko makundi tofauti, zitacheza mchezo wa kirafiki wa kimataifa kwenye Uwanja wa Kaitaba mkoani Kagera kesho Septemba 8, 2016