Friday, September 16, 2016

KUTOKA BUNGENI MJINI DODOMA


Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisoma hotuba ya kuahirisha bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akipokea hundi ya shilingi milioni 100 kutoka kwa Meneja Rasilimali Watu wa Kampuni ya Caspian, Bw. Omid Karambeck ukiwa ni mchango kwa ajaili ya waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makabidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya bungeni mjini Dodoma.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akimshukuru, Mkurugenzi Mtendaji wa Kapuni ya Border Limited, Bw. Wu Yahui baada ya kupokea shilingi milioni 20 zikiwa ni mchango wa waathirika wa tetemeko la ardhi mkoani Kagera. Makbidhiano hayo yalifanyika kwenye viwanja vya Bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Gairo, Ahmed Shabiby kwenye viwanja vya Bunge Mjini Dodoma Septemba 16, 2016.

Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akisalimiana na Mbunge wa Mpanda Mjini, Sebastian Kapufi kwenye jengo la utawala la Bunge mjini Dodoma Septemba 16, 2016. Katikati ni Mbunge wa Kibiti, Ali Ungando.