Friday, September 30, 2016

LIVE...DAR DABI – YANGA v SIMBA, PATA VIKOSI VYA KILA TIMU

VIGOGO na Watani wa Jadi, Yanga na Simba, Leo zinatinga Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam kucheza Dabi ya Jiji hilo ikiwa ni Mechi ya VPL, Ligi Kuu Vodacom.

VIKOSI:
YANGA:
Ali Mustapha, Juma Abdul, Haji Mwinyi, Vicent Bossou, Kelvin Yondani, Mbuyu Twite, Juma Mahadhi, Thabani Kamusoko, Amissi Tambwe, Donald Ngoma, Deus Kaseke
Akiba: Deogratius Munishi, Oscar Joshua, Nadir Haroub, Simon Msuva, Hartuna Niyonzima, Obrey Chirwa, Yusuf Mhilu

SIMBA: Angban, Mwanjale, Lufunga, Bakungu, Zimbwe Jumior, Mzamiru, Mkude, Kazimoto, Kichuya, Mavugo, Ajib
Akiba: Manyika, Banda, Mohammed, Ndemla, Juuko, Blagnon, Mnyate
REFA: Martin Saanya