Monday, September 12, 2016

MSIMU WA TIGO FIESTA WANOGESHWA NA BURUDANI YA KISHINDO MKOANI TABORA.


Maua Sama na Nandy wakiimba kwa pamoja katika usiku wa Tigo Fiesta mkoani Tabora mwishoni wa wiki hii.
Na Krantz Mwantepele

Msanii wa Bongo fleva AMADAI akiimba kwa hisia katika jukwaa la Tigo Fiesta Mkoani Tabora

JUX na Benpol wakiimba wimbo wa pamoja "NAKUCHANA" katika jukwaa la Tigo Fiesta katika uwanja wa Ally Hassan mkoani Tabora

Mkali wa HipHop Niki wa pili akishambulia jukwaaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema wiki hii katika uwanja wa Ally Hassan

Nuh Mziwanda akiimba kwa hisia nyimbo yake ya Jike shupa katika jukwaa la Tigo Fiesta mkoani Tabora mapema ijumaa hii

Young killer akiwakilisha vyema wana HIPHOP katika jukwaa la TIGO FIESTA mkoani Tabora

Msanii wa bongo fleva Shilole,akitumbuizakwenye tamasha la Tigo fiesta Mkoani Tabora katika uwanja wa Ali Hassan Mwinyi(usiku wa ijumaa)
Mashabiki na wapenzi wa burudani wakiitikia kwa shangwe kibwagizo cha "IMOOOOOOOO " katika usiku wa TIGO FIESTA mkoani Tabora


Umati wa mashabiki waliojitokeza kwa wingi kushuhudia tamasha la Tigo Fiesta mkoani Tabora katika uwanja wa Ally Hassan ijumaa hii