Sunday, September 25, 2016

PICHA: HAPPY BIRTHDAY YA ZARI THE BOSS LADY NDANI YA ZENJI ILIVYOKUWA

Diamond Platnumz amemfanyia pati ndogo Zari The Boss lady kati siku yake ya kuzaliwa, pati hii imefanyika visiwani Zanzibar na kuhudhuriwa na watu maarufu kama Mose Iyobo, Aunty Ezekiel.Mtoto wao Princes Tiffah naye alikuwepo kwenye pati hio.


PICHA ZOTE KWA HISANI YA SAMMISAGO.COM