Saturday, September 10, 2016

TETEMEKO LA ARDHI LAZUA SONGOMBINGO KANDA YA ZIWA LEO SEP 10, 2016. WENGI WEJERUHIWA NA WENGINE WAFARIKI BUKOBA.

PICHA MBALIMBALI KUTOKA MJINI BUKOBA BAADA YA KUATHIRIWA VIBAYA NA TETEMEKO LA ARDHI HAPO JANA KUPELEKEA VIFO


Watu 8 wamepoteza maisha mpaka tunaingia mitamboni kukujuza habari hii kubwa na ngeni kwa kanda ya ZIWA.  Habari zaidi ni kwamba tetemeko limezikumba sehemu mbalimbali kama Uganda, Mwanza, na sehemu za Kenya. Majeruhi wameongezeka zaidi jioni hii.