Monday, October 24, 2016

BALLON D'OR: WAGOMBEA WAENDELEA KUPATIKANA, RONALDO, HIGUAIN, AGUERO NA BALE WATAJWA! 10 TAYARI BADO 20

TAYARI Jarida la France Football, Waratibu wa Tuzo ya Mchezaji Bora Duniani kwa Mwaka 2016, Ballon D'oR, wameshaongeza Majina Matano toka yale Matano ya Awali na kufikisha Jumla ya Wagombea 10 kati ya 30 wanaotakiwa.
Majina hayo yatakuwa yakitangazwa kwa Mafungu ya Majina Matano Matano kila baada ya Saa 2 na ya kwanza kurushwa ni yale ya Sergio Aguero (Manchester City), Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund), Gareth Bale (Real Madrid), Gianluigi Buffon (Juventus) na Cristiano Ronaldo (Real Madrid).
FIFA Ballon d'Or winner Lionel Messi poses with his award
MAJINA 10 NI:
Sergio Aguero (Manchester City)
Pierre-Emerick Aubameyang (Borussia Dortmund)
Gareth Bale (Real Madrid)
Gianluigi Buffon (Juventus)
Cristiano Ronaldo (Real Madrid)
Kevin De Bruyne (Manchester City)
Paulo Dybala (Juventus)
Diego Godin (Atl├ętico Madrid)
Antoine Griezmann (Atl├ętico Madrid)
Gonzalo Higuain (Napoli/Juventus)