Monday, October 24, 2016

BEKI WA MAN UNITED ERIC BAILLY AMIA GOTI, HAPA MAN UNITED WANAWEZA KUCHEZA BILA ERIC

Three ways Man United's defence could line up without Eric Bailly Beki wa Manchester United anayetoka Ivory Coast Eric Bailly alipata jeraha mbaya ya goti wakati wa mechi ambayo timu yake ililazwa 4-0 na Chelsea Jumapili.
Mchezaji huyo wa miaka 22 aliumia baada ya kukabiliana na Eden Hazard wa Chelsea.
ALiondolewa uwanjani dakika ya 52.

"Nina wasiwasi kwamba ni jeraha mbaya," meneja wa United Jose Mourinho alisema. "Ameumia kwenye goti, eneo lenye kano. Anahisi kwamba ni jeraha mbaya sana."
Bailly alikuwa amechezea United mechi zote walizocheza msimu huu ligini.
Alijiunga nao kutoka klabu ya Villarreal ya Uhispania kwa £30m kabla ya kuanza kwa msimu.
man-united-with-blind-at-cbMAN UNITED BILA ERIC BAILLY INAVYOWEZA IKAPANGWAman-united-3-5-2man-united-with-rojo-at-cb