Saturday, October 22, 2016

FULL TME...EPL: AFC BOURNEMOUTH 0 v 0 TOTTENHA HOTSPURS

Timu ya Bournemouth na Tottenham zilicheza Mechi ya kwanza kabisa hii Leo ya EPL, Ligi Kuu England, huko Vitality Stadium Mjini Bournemouth na matokeo kuwa 0-0.
Hadi Mapumziko Bournemouth 0 Tottenham 0.
Kipindi cha Pili kila Timu ilipata nafasi kadhaa lakini walishindwa kuzitumua.
Kwa Spurs, licha ya kutoshinda angalau wamedumisha rekodi ya kuwa bado ndio Timu pekee ambayo haihapoteza mchezo wa EPL Msimu huu.