Saturday, October 22, 2016

IDDI MKWELA NA ISSA NAMPEPECHE WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO OCTOBER 23 CCM MWIJIMA MWANANYAMALA


Kocha wa wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D ' katikati akiwa na mabondia Iddi Mkwela kushoto na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa raundi kumi utakaofanyika siku ya jumapili ya October 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala

Mabondia Iddi Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Issa Nampepeche baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya Ocober 23 katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala