Sunday, October 30, 2016

JKT MLALE WATOKA SALE YA MOJA MOJA NA COAST UNION KATIKA MCHEZO ULIOCHEZWA UWANJA WA MAJI MAJI.

Kocha wa JKT Mlale Edga Msabila akihojiwa na Ruvuma TV on Line baada ya mpira kumalizika na kutoka sale ya moja moja na Coast Union ya Tanga katika mchezo uliochezwa uwanja wa MAJI MAJI uliopo miji Songea Mkoani Ruvuma