Sunday, October 23, 2016

FULL TIME...VPL: SIMBA 3 vs 0 TOTO AFRICANS, SIMBA WAZIDI KUPETA KILELENI

Mzamiru Yassin anaiandikia bao dakika ya 43 sasa  ni Simba 1-0. KAVUMBAGU alifunga bao la tatu na tena dakika ya 74 Mzamiru Yassin aliipatia bao la tatu Simba na kufanya mtanange kubadilika kuwa Simba 3 Toto Africans 0.