Sunday, October 2, 2016

PAMBANO LA SIMBA NA YANGA KATIKA PICHA

Wachezaji wa Yanga wakishangilia bao lililofungwa na Amis Tambwe. Furaha ya ushindi. Wachezaji wa Simba wakimlalamikia mwamuzi Martin Saanya. Mzozo. Wakialalamika Wachezaji wa Simba wakimzonga mwamuzi.
Amis Tambwe akiwa na kocha wake.

Jonas Mkude akitoka nje baada ya kuonyeshwa kadi nyekundu.

Mkude akitoka nje.

Shabiki akikimbizwa kup[ata huduma ya kwanza baada ya kuumia kichwani.

Ibrahim Ajibu akimtuliza Martin Saanya.

Mashabiki waliokuwa jukwaa la Simba wakikimbia baada ya Polisi kupiga mabomu ya machozi.

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akimtoka beki wa Simba, Novaty Lufunga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)

Mshambuliaji wa Yanga, Amis Tambwe akichuana na beki wa Simba, Novaty Lufunga kabla ya kufunga bao lililolalamikiwa na wachezaji wa Simba kwa madai aliushika mpira kabla ya kufunga katika mchezo wa Ligi Kuu Tanzania Bara uliofanyika kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam. (Picha na Francis Dande)