Sunday, October 2, 2016

VPL...KAGERA SUGAR 2 v 0 TANZANIA PRISONS, ALLY NASSORO NA DANNY MRWANDA WAIPA USHINDI KAGERA LEO KAITABA.


Dakika ya 25 kipindi cha kwanza Ally Nassoro kaifungia bao la kuongoza Kagera Sugar.

Kagera Sugar  1-0 dhidi ya Tanzania Prisons.
Danny Mrwanda dakika ya 70 aliiongezea bao la pili na mtanange kumalizika dakika 90 kwa bao 2-0, Kagera Sugar wakiibuka kidedea kwenye Dimba lao la KaitabaBAO....

Mashabiki wa Kagera wakishangilia


2-0