Friday, October 28, 2016

YANGA WAMREJESHA KAZINI KOCHA WAO HANS VAN PLUIJM

Uongozi wa Klabu ya Yanga, umelezimika kumuangukia aliyekuwa kocha wake, Hans van der Pluijm na hii ni barua ambayo uongozi wa klabu hiyo umemuandikia kukataa ombi lake la kutaka kuachia ngazi. Pluijm aliandika barua kujizulu Oktoba 22, 2016 baada ya Yanga kuamua kufanya mazungumzo na Kocha George Lwandamina raia wa Zambia. [image: van-pluijm]Ili kumrejesha Hans van Pluijm ndani ya klabu hiyo, Waziri wa Mambo ya Ndani, Mwigulu Nchemba amefanya mazungumzo na kocha huyo kumsihi kutojiuzulu nafasi ya Kocha Mkuu wa Yanga.Image result for Kocha Hans van Pluijm