Tuesday, November 1, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE.FULL TIME: LUDOGORETS RAZGRAD 2 v 3 ARSENAL, OZIL AONGEZA UTAMU KWA GUNNERS!!

Bao alilolifunga Ozil ni moja ya mabao matata yaliyowahi kutokea kwenye Soka.Olivier Giroud dakika ya (41') aliisawazishia Arsenal bao na kwenda mapumziko Timu zote mbili zikiwa 2-2.

Ludog
orets Razgrad wanaongoza bao 2-1 mpaka sasa bao zililofungwa na Jonathan Caf├║ dakika ya (12') na lile la Claudiu Keser├╝ dakika ya (15')
Arsenal bao lake limefungwa na Granit Xhaka (20') 1-0

Image result for Ludogorets Razgrad  vs  ArsenalLudogorets Razgrad 0 vs 0 Arsenal