Tuesday, November 15, 2016

INTERNATIONAL FRIENDLY: ENGLAND 2 v 0 SPAIN, HAKUNA MBABE!

Jamie Vardy alifunga la pili kwa kichwa dakika ya 48 kipindi cha pili na kufanya bao kuwa 2-0 dhidi ya Spain. Bao za Spain zilifungwa dakika za lala salama ya 89 na  Iago Aspas na lile la Isco dakika ya (90'+6')Adam Lallana celebrates after opening the scoring for England in a friendly vs. Spain.1-0Dakika ya 9 tu England walipata penti na mkwaju huo ulifungwa na Adam Lallana
England v Spain, LIVE score: Plus all other international scores and results