Tuesday, November 1, 2016

JKT QUEENS YAICHAPA MLANDIZI QUEENS 4-1 LIGI KUU YA WANAWAKE

Kikosi cha Mlindizi Queens kikiwa katika picha ya pamoja kabla ya pambano la Ligi Kuu ya Wanawake dhidi ya JKT Queens uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume ambapo JKT Queens ilishinda 4-1. (Picha na Francis Dande)
Kikosi cha JKT Queens.
Waamuzi wa mchezo huo.
Manahodha wa timu za JKT na Mlandizi.
Wachezaji wa JKT Queens wakishangilia baada ya kupata bao.
Raha ya ushindi.
Moja ya hatari katika lango la Mlandizi Queens.
Mwanahamisi Omary (katikati) akitafuta mbinu za kuwatoka wachezaji wa JKT Queens.
Kipa wa JKT Queens akiwa katika harakati za kuokoa hatari langoni mwake.
Mwanahamisi akimtoka beki wa JKT.

Mshambuliaji wa timu ya Mlandizi Queens, Mwanahamisi Omary akiwatoka wachezaji wa JKT Queens, Fatuma Ibrahim na Anna Hebron katika mchezo wa Ligi ya Wanawake uliofanyika kwenye Uwanja wa Karume jijini Dar es Salaam leo. JKT Queens ilishinda 4-1.

Mwanahamisi Omary akimiliki mpira.