Saturday, November 26, 2016

FULL TIME: LIVERPOOL 2 v 0 SUNDERLAND, ORIGI NA MILNER WAIPA USHINDI LIVERPOOL NA KUKWEA KILELENI!


Divock Origi dakika ya 75 alianza kuifungia bao Liverpool huku James Milner akitupia bao la pili kwa mkwaju wa penati dakika ya 90.Philippe Coutinho kaumia na kutoka uwanjani kipindi cha kwanza wakiwa 0-0.