Thursday, November 24, 2016

UEFA EUROPA LEAGUE: MANCHESTER UNITED 4 v 0 FAYENOORD ROTTERDAM, ROONEY, MATA NA JESSE WAIRUDISHA BARABARANI MAN UNITED!


Wayne Rooney bao la kwanza kalifunga kipindi cha kwanza dakika (35') Juan Mata kipindi cha pili alifanikisha bao dakika (69') huku bao la tatu kipa akijifunga baada ya Ibrahimovic kupia mpira katikati ya miguu yake na kujichanganya akajifunga kipa wa Feyenoord Rotterdam Brad Jones katika dakika ya 75.
Jesse Lingard aliyeingia kipindi cha pili dakika  za majeruhi dakika ya 90 aliwafungia Man United bao na mtanange kumalizika kwa bao 4-0.
VIKOSI:
Manchester United XI:
Romero, Valencia, Jones, Blind, Shaw, Carrick, Pogba, Mata, Rooney, Mkhitaryan, Ibrahimovic
Feyenoord XI: Jones; Karsdorp, Dammers, Van der Heijden, Nelom; Tapia, Kuyt, Vilhena, Toornstra, Jorgensen, Elia
Image result for Manchester United vs Feyenoord RotterdamManchester United vs Feyenoord RotterdamImage result for Manchester United vs Feyenoord Rotterdam