Saturday, November 19, 2016

EPL: CRYSTAL PALACE 1 v 2 MANCHESTER CITY, YAYA TOURE AIBEBA CITY

Connor Wickham dakika (66') kipindi cha pili aliisawazishia bao kwa kufanya 1-1 na mtanange mpaka sasa unaendelea kipindi cha ungwe ya pili ya kipindi cha dakika 45 za mwisho.

Yaya Touré dakika (39' Kipindi cha kwanza aliwafungia bao Man City kwa kufanya 1-0 dhidi ya Crystal Palace.