Sunday, November 13, 2016

FULL TIME, INTERNATIONAL FRIENDLY: ZIMBABWE 3 v 0 TANZANIA. MUSOMA, RUSIKE NA MUSHEKWI WAIBAMIZA TAIFA STARS!

Wafungaji kipindi cha pili ni M. Rusike dakika ya 55' kwa bao la pili, Bao la tatu lilifungwa na N. Mushekwi dakika ya 57' na kufanya bao kuwa 3-0 dhidi ya Tanzania maarufu kama Taifa Stars.
Mchezo huu kwa Timu ya Taifa Stars imeonekana kucheza kibinafsi kwa kila mchezaji kuliko kucheza kama timu moja na kuweza kuleta mabadiliko kwa Timu.

Zimbabwe wamepata bao la kuongoza dakika ya 9 kupitia kwa mchezaji wake wa kimataifa Musona Knowledge na mpira kwenda mapumziko Tanzania ikiwa nyuma ya bao 1-0.