Saturday, November 5, 2016

FULL TIME: MANCHESTER CITY 1 v 1 MIDDLESBROUGH, CITY WABANWA MBAVU KWAO ETIHAD LEO!

Dakika 90 zilihitimishwa kwa sare kwa bao 1-1, Huku Boro wakisawazisha dakika za majeruhi. Bao likisawazishwa na Marten de Roon dakika ya 90.1-0 AgueroAguero dakika ya 43 aliipachikia bao na Timu zote kwenda mapumziko Man City wakiwa mbele ya bao 1-0 dhidi Middlesbrough.