Wednesday, November 9, 2016

SERENGETI BOYS WAKWAA PIPA KUELEKEA KOREA YA KUSINI


Vijana walio chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys wakiwasili katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa J.K.Nyerere tayari kwa safari kuelekea nchini Korea ya Kusini kushiriki mashindano maalumu ya vijana walio katika umri huo. 
Afisa Habari wa Shirikisho la Kabumbu Tanzania TFF,Alfred Lucas akizungumza na waandishi wa habari hawapo pichani juu ya timu ya vijana walio chini ya umri wa miaka 17 Serengeti Boys na viongozi 8 kuondoka jijini Dar es salaam leo kuelekea nchini Korea ya Kusini kushiriki mashindano maalumu ya vijana walio katika umri huo