Wednesday, November 2, 2016

UEFA CHAMPIONS LEAGUE: LEGIA WARSAW 3 vs 3 REAL MADRID, WAUCHEZA BILA MASHABIKI! REAL WABANWA MBAVU!

Mpaka dakika 90 zinakamilia Real Madrid 3 Legia Warsaw 3.
Real ndio walisawazisha bao dakika ya 85.
Gareth Bale dakika ya (1') tu anawapachikia bao la kuongoza Real Madrid.