Friday, November 25, 2016

UEFA EUROPA LEAGUE: MANCHESTER UNITED 4 v 0 FAYENOORD ROTTERDAM, WAYNE ROONEY AWEKA HISTORIA OLD TRAFFORD!

MANCHESTER UNITED wakiwa Uwanjani kwao Old Trafford wakicheza Mechi yao ya 5 ya Kundi A la UEFA EUROPA LIGI wameweka matumaini makubwa ya kuingia Raundi ya Mtoano ya Timu 32 baada ya kuiwasha Feyenoord Bao 4-0 na pia Kepteni wao Wayne Rooney kuvunja Rekodi ya Klabu hiyo.Manchester United's Jesse Lingard scores their fourth goalRooney ndie aliifungia Man United Bao la Kwanza akifika Bao 39 za Mechi za Mashindano ya UEFA Ulaya na kuvunja Rekodi ya Ruud Van Nistelrooy ya Bao 38 kwa Man United.
Pia Bao hilo limemfanya Rooney abakishe Bao 1 tu kuikamata Rekodi ya Mfungaji Bora katika Historia ya Man United Sir Bobby Charlton mwenye Bao 249.
Rooney ndie Mwaka Jana alievunja Rekodi ya Sir Bobby Charlton ya Goli nyingi kwa Timu ya Taifa ya England na yeye kuwa Mfungaji Bora katika Historia ya Taifa hilo.
Manchester United's Jesse Lingard celebrates scoring their fourth goal with Paul PogbaRooney alifunga Bao hilo Dakika ya 35 na nyingine kupachikwa na Juan Mata, Kipa Bradley Jones kujifunga mwenyewe alipopigwa tobo na Zlatan Ibrahimovic na la mwisho la Jesse Lingard.
Manchester United's Zlatan Ibrahimovic attempts an overhead kickMapema kabla Mechi hii katika Mechi nyingine ya Kundi A, Fenerbahce, wakiwa kwao Uturuki, waliifunga Zorya Luhansk ya Ukraine 2-0 na kuongoza Kundi A wakiwa na Pointi 10 na Man United wapo wa Pili wakiwa na Pointi 9 wakifuatia Feyenoord wenye Pointi 7.
Mechi za mwisho zitachezwa Desemba 8 kwa Feyenoord kuivaa Fenerbahce na Man United kuwa wageni wa Zorya Luhansk.Henrikh Mkhitaryan shakes hands with Jose Mourinho as he is substitutedZlatan Ibrahimovic celebrates with Henrikh Mkhitaryan and Marcus Rashford after Feyenoord's Brad Jones scored an own goalManchester United's Zlatan Ibrahimovic has his cross deflected into the goal by Feyenoord's Brad JonesJuan Mata is congratulated by manager Jose MourinhoJuan Mata is congratulated by Wayne Rooney after scoring their second goalJuan Mata celebrates scoring his teams second goalManchester United's Juan Mata scores his side's second goalPaul Pogba in action with Dirk KuytDaley Blind has a shot on goalTonny Vilhena and Michael Carrick battle for the ballWayne Rooney celebrates scoring the opening goalWayne Rooney celebrates scoring his side's first goalFeyenoord's Brad Jones gathers from Manchester United's Henrikh MkhitaryanFeyenoord's Dirk Kuyt controls the ballManchester United's Wayne Rooney in actionPaul Pogba controls the ball