Thursday, November 3, 2016

VPL - CCM KIRUMBA: MBAO FC 0 vs 2 KAGERA SUGAR, MBARAKA YUSUF NA ABEID ALLY WAIPA USHINDI KAGERA LEO CCM KIRUMBA MWANZA.

Ushindi huu wa Kagera Sugar wa 2-0 unawapandisha nafasi ya 5 wakiwa na pointi 21. 

Mbao Fc wanapoteza tena kwenye Uwanja wao wa CCM Kirumba jijini Mwanza leo. 

Bao za leo za Kagera Sugar zimefungwa na Mbaraka Yusuf na Abeid Ally