Monday, December 26, 2016

DIAMOND PLATNUM NA WCB YAKE WALIVYOZIKONGA NYOYO ZA WANAIRINGA KWENYE VIWANJA VYA SAMORABaada ya December 24 kuangusha show kwenye fukwe za Jangwani Sea Breeze, jijini Dar es Salaam, timu nzima ya WCB ilielekea Iringa kushererehea sikukuu ya Christmas kwa show kubwa kwenye viwanja vya Samora.